Timu ya Umoja wa Vijana waendesha Pikipiki za magurudumu matatu Mkoani Mbeya imezinduliwa hivi katibuni na kupewa msaada wa jezi viatu na mipira toka kwa mlezi wao Mwaka Mwakisu hapo mlezi huyo akimkabidhi jezi mwenyekiti wa bajaji mkoa wa mbeya Iddi Ramadani
|
Mlezi Mwaka Mwakisu akimkabidhi mipira mwenye kiti wa bajaji mkoa wa mbeya.
|
Mlezi wa waendesha bajaji mkoa wa Mbeya Mwaka Mwakisu amewataka wanaumoja huo wa bajaji kutumia vifaa hivyo vya michezo kuleta mshikamano kwenye michezo na afya zao pia na kuacha kushabikia mambo ya kuleta vurugu na kuvunja amani ya mkoa wa mbeya na Tanzania kwa ujumla
|
Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha bajaji mkoa wa Mbeya akimshukuru mlezi wako wa kuwasaidia vifaa vya michezo na kuzindua timu yao ya waendesha bajaji mkoa wa Mbeya
|
Mgeni rasmi akipandisha bendera ya timu ya Bajaji FC kuashiria kuzinduliwa kwa timu hiyo
|
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Bajaji FC wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
|

Hebu rekebisheni hiyo tarehe ya uzinduzi.Inasomeka 3TH FEB 2013, Yapaswa iwe 3RD FEB 2013.
ReplyDeleteNi mimi MWAGITO