Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi an Teknolojia Mh. January Makamba (mwenye fulana ya njano) akisikiliza maelezo ya juu ya maendelea ya Msiba wa Msanii Sadick Juma Kilowoko a.k.a Sajuki aliefariki dunia leo kwenye Hospital ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa.Taarifa hiyo ilikuwa ikitolewa na Rais wa Shirikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF),Saimon Mwakifwamba
Vikao vya hapa na pale vikiendelea ili kuhakikisha mambo yanakwenda sawa kwenye msiba huo.
Waombolezaji wakiwa kwenye Msiba wa Sajuki nyumbani kwao Tabata Bima,jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment