HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 30, 2013

WAJASIRIAMALI WALIVYONUFAIKA NA SAFARI LAGER WEZESHWA

 Mjasiriamali Elizabeth Chami (26), akioka keki kwenye jiko la kisasa alilozawadiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia promosheni ya Safari Lager Wezeshwa 2012, kwenye karakana yake iliyopo Tabata Mawenzi, Dar es Salaam.
 Mfanyakazi wa karakana hiyo, Happiness akiweka akioka keki kwenye jiko hilo la kisasa.
 Mfanyakazi wa Kiwanda cha kutangeneza Shampoo  cha L & V Intergrated Firm, kilichopo Mikocheni, Dar es Salaam, Hashim Hussein akifungasha katoni za bidhaa hiyo. Kiwanda hicho kilisaidiwa chupa 15,000 baada ya mmiliki wa kiwanda hicho Valerian Luzangi (hayupo pichani) kuwa mmoja wa washindi wa promosheni  ya Safari Lager Wezeshwa 2012.
 Mjasiriamali Valerian Luzangi (38), kulia, akipanga vizuri katoni za shampoo anazozalisha katika kiwanda chake cha L & V Intergrated Firm, kilichopo Mikocheni, Dar es Salaam juzi. Luzangi alisaidiwa chupa 15,000 baada ya kuwa mmoja wa washindi wa promosheni  ya Safari Lager Wezeshwa 2012, Kushoto ni mfanyakazi wake, Hashim Hussein.
 Wajasiriamali Innocent Mberwa (kulia) na Gosbert Mugisha wakiwa sawa mfumo wa umwagiliaji katika moja ya mashamba  zao la matikiti maji ya Kampuni yao ya  Tin Wax eneo la Minondo, Kata ya Somangila, Kigamboni, Dar es Salaam juzi. Kampuni hiyo ilizawadiwa mfumo huo baada ya kushinda promosheni  ya Safari Lager Wezeshwa 2012.(PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad