HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 18, 2013

TANROADS LINDI MPOOOOOOOOOO??

Tanroads tupieni jicho Barabara ya kutoka Lindi kwenda Ruangwa ukianzia Michenga hadi Kitandi Hali ni mbaya.Natoa wito kwa Madereva waedao Ruangwa kuwa makini kutokana na maeneo mengi ya barabara hiyo kukatika na Mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa.
gari imenasa katika sehemu iliyokatika katika barabara hiyo.
 jamaa akaona isiwe shida acha apange zake vigogo ili gari yao iweze kupita baada ya kukwama mwanzo na kuirudisha.Picha na Mdau Abdulaziz,Lindi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad