HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 31, 2013

TAASISI YA THE JOHN MASHAKA YAWAKUTANISHA WAANDISHI NA WATU WENYE ULEMAVU KUJADILI CHANGAMOTO MBALIMBALI

Katibu wa Taasisi ya The john mashaka,Bi. Rabia Bakari akizungumza kwa ajili ya kufungua mkutano wa waandishi wa habari na wawakilishi wa vyama vya watu wenye ulemavu ili kujadili kwa pamoja hali ya watu wenye ulemavu na wengine wasiojiweza.

Baadhi ya watu wanaotafsili lugha za alama wakiendelea na kazi hiyo wakati wa mkutano

Baadhi ya wawakilishi wakisikiliza kwa makini

Mwenyekiti wa TUSPO Bw. ELLEZER Mdakima (kushoto) akizungumza wakati wa mkutano huo.wengine kulia ni Mjumbe wa Taasisi ya The John Mashaka Bi, Latifa Masasi na Katibu wa taasisi hiyo,Bi. Rabia Bakari.picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad