HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 10, 2013

SAMSUNG YACHEZESHA DRAW YA MSIMU WA SIKUKUU JIJINI DAR LEO

Meneja Usambazaji wa Samsung Mobile Tanzania, Sylvester Manyara(katikati) akisoma zawadi ya mshinndi wa kwanza wa TV nchi 40 yenye thamani ya shilingi milioni mbili na nusu.Kushoto ni Msimamizi wa Bahati na sibu Tanzania, Abdalah Hemed na Mkufunzi wa Samsung Tanzania, Joel Laizar Dar es Salaam.
Meneja Usambazaji wa Samsung Mobile Tanzania, Sylvester Manyara(kushoto),Msimamizi wa Bahati na sibu Tanzania, Abdalah Hemed na Mkufunzi wa Samsung Tanzania, Joel Laizar wakionyesha zawadi za washindi mara baada ya kuchezesha droo ya Samsung ya msimu wa sikuu ya X’mass na Mwaka mpya Dar es Salaam.Zawadi zote zinathamani ya shilingi milioni 6.
Meneja Usambazaji wa Samsung Mobile Tanzania, Sylvester Manyara akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuchezesha droo ya Samsung ya msimu wa siku kuu ya X’MASS NA mwaka mpya jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad