Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wa Igunga wakati alipokuwa akiwasili katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga muda mfupi baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutumia maelfu ya wananchi wa Igunga katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga muda mfupi baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi wa Igunga wakati alipokuwa akiwahutubia katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga muda mfupi baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.
Wananchi wa Igunga wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani) wakati alipokuwa akiwahutubia katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga muda mfupi baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment