Mgambo wa Manispaa ya Kinondoni wakiendesha operesheni ya kuwakamata wafanyabiashara ndogondogo eneo la Ubungo kwenye kituo cha daladala,kama walivyonaswa na Kamera yetu.
No comments:
Post a Comment