Kila nipitapo Barabara hii ya Kawe,basi ni lazima nikutanie na kundi kubwa la Mbuzi wakiwa majani yaliyoota pembezo ni mwa barabara hiyo.sasa nashindwa kuelewa kwamba Mbuzi hawa ni kwamba hawana mwenyewe au inakuwaje??
Tuesday, January 8, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment