Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Viongozi wa Jumuiya ya Maulid EL Nabii Zanzibar,alipowasili katika viwanja vya Maisara katika sherehe za Maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) yaliyofanyika jana.
Ustadh Ali Twalib Mohamed,wa Kibanda Hatari Mjini Zanzibar akisoma Maulid Barzanj Mlango wa kwanza katika kusherehekea kwa kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, alipowasili katika viwanja vya Maisara katika sherehe za Maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) yaliyofanyika jana, na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume,(katikati).
Wanafunzi wa Madrasa Munawara Shaurimoyo Wilaya ya Mjini Zanzibar wakisoma Qaswida ya Mwaka 1434 el Hijra,wakati wa sherehe ya Maulid ya Kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Maisra Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maulid EL Nabii Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis,iliyotayarishwa na jumuiya hiyo katika sherehe za Maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maulid EL Nabii Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis,alipowasili katika viwanja vya Maisara katika sherehe za Maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) yaliyofanyika jana.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akitia ubani kama ishara ya ufunguzi wa Maulid ya Kuzaliwa Bwana
Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyosomwa jana katika Viwanja vya Maisara Mjini
Zanzibar,ambapo kila mwaka hufanyika Maulid kama hayo na kuhudhuriwa na
maelfu ya Wumini wa Dini ya Kiislamu.
Ustadh
Rashid Jaffer wa Magogoni Mjini Zanzibar,akisoma Quran Tukufu ya
Ufunguzi wa Maulid ya Kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyosomwa
jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar,ambapo kila mwaka
hufanyika Maulid kama hayo na kuhudhuriwa na maelfu ya Wumini wa Dini ya
Kiislamu.
Ustadh
Abdulla Hamad wa Chuo cha Kiislamu,akitoa tafsiri ya Aya za
Quran,zilizosomwa na Ustadh Rashid Jaffer wa Magogoni Mjini
Zanzibar,akisoma Quran Tukufu ya Ufunguzi wa Maulid ya Kuzaliwa Bwana
Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyosomwa jana katika Viwanja vya Maisara Mjini
Zanzibar,ambapo kila mwaka hufanyika Maulid kama hayo na kuhudhuriwa na
maelfu ya Wumini wa Dini ya Kiislamu.
Mtafsiri
Lugha kwa njia ya alama akitoa tafsiri ya maneno yanayozungumzwa wakati
wa Hafla ya sherehe za Maulid ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad
(S.A.W) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Wake
za Viongozi na Akinamama wakisikiliza Maulid Barzanj ya Kuzaliwa kwa
yaliyosomwa na wasomaji mbali mbali na Qasida katika sherehe za Maulid
ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika
viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Baadhi
ya Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria katika sherehe za Maulid
ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika
viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa tatu kulia) akitiwa Marashi wakati wa kumswalia Mtume (S.A.W)
wakati wa sherehe ya Maulid ya Kuzaliwa kwake katika viwanja vya Maisara
Mjini Zanzibar jana.
No comments:
Post a Comment