Michuano ya kuwania Kombe la Mataifa Afrika 2013 ambayo pia inajulikana kama Orange Africa Cup Of Nations inazidi kupamba moto kutokea katika miji na viwanja mbalimbali nchini Afrika Kusini.
Ingawa Tanzania haikufanikiwa kuingia katika michuano hii(one day Yes),watanzania wengi ni mashabiki wa soka. Iwe ni michuano muhimu kwa bara la Afrika kama hii au iwe ni Ligi ya Uingereza,Italy,Spain au kwingineko, una uhakika wa kumkuta mtanzania ambaye ni shabiki wa ukweli wa michuano.
Hali haikuwa tofauti jijini Mwanza mwishoni mwa wiki ambapo mashabiki wa soka walifurika katika viota vya Villa Park Resort na Shooters Pub maeneo ya Kirumba jijini hapo katika shughuli maalum ya kushuhudia na kufurahia soka kwa pamoja iliyoandaliwa na kampuni ya MultiChoice Tanzania kupitia Channels zao za SuperSport zinazopatikana ndani ya DStv. Huduma za DStv zinapatikana kote nchini. Bonyeza hapa kujua zaidi na pia ili kwenda na wakati wa kile kinachoendelea ungana na DStv kupitia ukurasa wao maalumu wa Facebook kwa kubonyeza hapa.

Karibu Villa Park Resort jijini Mwanza. Mambo yote soka hutokea hapa Live kupitia SuperSport ndani ya DStv.
Kutoka kushoto Gordon Mumbara, Masalu na John Kasuku(MultiChoice Regional Sales Coordinator-Kanda ya Kaskazini)-Experience The Spirit Of Africa
Macho yote kwenye screen. SuperSport 4 inahusika hapa.
Mashabiki hawa waliniambia kwamba wao kwa pamoja ni Manchester United "damu".Lakini kunako Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2013) kila mtu ana taifa ambalo angependa linyakue kombe mwaka huu.Kuna Ivory Coast, Ghana,Mali,Zambia nk.
They sleep and wake up with Manchester United but haven't forgotten home hence carefully following AFCON 2013 through SuperSport on DStv.
Villa Park Resort- Experience The Spirit Of Africa
I Love and Proud Of SuperSport
Meneja Masoko wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania, Furaha Samalu (mwenye t-shirt nyekundu) akiwa na wadau na wafanyakazi wa ofisi ya MultiChoice Mwanza ndani ya Villa Park Resort-Kirumba Mwanza.
Yellow, Blue or Red, Soccer Fever In Mwanza. Thanks to DStv matches can be seen Live and in HD
Mashabiki wakishuhudia AFCON2013 ndani ya Villa Park Resort jijini Mwanza.
Intesity
Soka lina raha yake.Soka lina karaha zake. Unaweza kuhisi hapo nini kinaendelea. Ivory Coast walikuwa wanamenyana na Tunisia.
Cheers and Thanks to Mwanza Soccer Fans!!!
Kwa huduma na mauzo ya DStv Mwanza na Kanda ya Kaskazini unaweza kuwasiliana na DStv Mwanza kwa kutumia namba +255-28-2500230. Ofisi zipo Kenyatta Road (Masumini Bldg) opposite na Mwanza Engineering.
No comments:
Post a Comment