HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 16, 2013

KUMRADHI WASOMAJI GLOBAL PUBLISHERS

 Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info hauko hewani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza mapema leo ambayo yanashughulikiwa na wataalamu wetu.

Ni maratajio yetu kuwa tatizo lililopo litatatuliwa mapema na Mtandao kurudi katika hali yake ya kawaida. Hata hivyo kwa wale wanaosoma magazeti yetu On Line, wataendelea kusoma kama kawaida kwa kwenda moja kwa moja kwenye anauani hii:

Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utaojitokeza katika kipindi hiki.

Asanteni kwa uvumilivu wenu

Web Master
Global Publishers Ltd

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad