HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 3, 2013

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA MATUKIO MBALI MBALI YA JIJINI DAR

 Hii ni Barabara ya Tabata Dampo ikiwa imejaa tope rojo rojo huku magari yakishindwa kupishana.
 Mafundi wa Magari katika gereji zilizopo Tabara Dampo wakipata kitu roho inapenda.
 hapa ni mpakani kwa Tabata Dampo na Kigogo.
 Kibao cha Amri ya Polisi.
 hapa hata sijui nielezee nini??
Lori linapokwama kwenye kingo za barabara katika eneo la Magomeni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad