Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ikiwa katika kulendeleza Libeneke lake,imepita Mitaa ya Kinondoni B karibu kabisa na Kiwanja cha Biafra na kukuta Barabarani kumewekwa namna hii huku kukiwa hakuna mtu hata mmoja anaeonekana akifanya kazi yeyote katika eneo hili.sijafahamu kwa huu ni utaratibu mpya wa kuongeza msongamano wa magari au ni vipi.
No comments:
Post a Comment