HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 23, 2013

Ally Remtullah kushiriki mkutano wa ‘The Economics of the Africa Fashion Industry’ Chuo kikuu cha Harvard jijini Boston Marekani

Meneja Masoko wa Kampuni ya Tanzania Hair Industry ltd James Walwa - Jimmy (kulia) akimkabidhi mbunifu wa mavazi nchini,Ally Rehmtullah tiketi kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Afrika Mashariki katika mkutano wa 'The Economics of the Africa Fashion Industry' utakaofanyika nchini Marekani mwezi wa Februari. Tanzania Hair Industry ltd ambao ndio watengenezaji wa nywele maarufu aina ya Darling ndio wadhamini wa safari ya mbunifu huyu kwenye mkutano huo wa kihistoria utakaofanyika katika Kikuu cha Havard nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad