HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 3, 2013

Airtel yawazawadia washindi wa mwenzi wa "Amka Millionea" promosheni shilling million 30

Afisa Uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuendesha droo ya mwenzi wa washindi wa Amka Millionea, Ambapo moja kati ya washindi ni bw Rickson Richard kutoka Arusha aliyejishindia shillingi million 15. pichani Katikati ni Meneja Bidhaa Francis Ndikumwami akifatiwa na Mwakilishi wa Bodi ya Bahati nasibu ya taifa bw Sadiki Elimsu.
Meneja Bidhaa Francis Ndikumwami na Mwakilishi wa Bodi ya Bahati nasibu ya taifa bw Sadiki Elimsu wakitafuta washindi wa mwenzi wa promosheni ya Amka Millionea ambapo Ambapo moja kati ya washindi ni bw Rickson Richard kutoka Arusha ambaye amejishinid kitita cha shillingi million 15. wakishuhudia ni waandishi wa habari , kulia ni Afisa Uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad