Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangalloor akifafanua jambo jinsi wateja wa Airtel watakavyofaidika na huduma ya punguzo la gharama za maongezi hadi senti 10 kwa sekunde.
Meneja Masoko wa Airtel Tanzania,Rwebugisa Mutahaba akifafanua jambo jinsi wateja wa airtel watakavyoweza kufurahia punguzo nafuu ya la senti10 kwa sekunde baada ya dakika ya pili kuanzia leo.
Wataalamu wa Airtel kitengo cha masoko na Mawasiliano wakionyesha vipeperushi vitakavyotumiwa kuelimisha jamii juu ya punguzo hilo wakiwa kwenye bonge la pozi.
Baadhi ya wafanyakazi wa airtel wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa punguzo gharama za huduma ya kuongea yaa Airtel-airte hadi senti 10 kwa sekunde baada ya dakika ya pili.
No comments:
Post a Comment