HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 13, 2012

Washindi wa Castle Lager Super fan wapatikana

Meneja wa Bia ya Castle lager,Kabula Nshimo (katikati) akizungumza leo kwenye kikao na waandishi wa Habari kilichokuwa kikiwatangaza washindi wa Castle Lager Super Fan watakaokwenda kuiwakilisha Nchi kwenye fainali ya mataifa ya Afrika ambapo wataungana na washindi wa nchi nyingine kuunda timu ya ushangiliaji ya Afrika United Team.wengine pichani ni Washindi wa Castle Lager Super fan Yahaya Hamza toka mkoani Mwanza na Filbert Nestory toka Dar Es Salaam
Meneja wa Bia ya Castle lager,Kabula Nshimo (kushoto) akimkabidhi TV Mmoja wa washindi wa Castle Lager Super Fam.
Washindi wa Castle Lager Super fan Yahaya Hamza toka mkoani Mwanza na Filbert Nestory toka Dar Es Salaam wakiwa na Meneja wa Bia ya Castle lager,Kabula Nshimo (katikati) kwenye kikao na waandishi wa Habari kilichokuwa kikiwatangaza kuwa washindio na kujiandaa kuiwakilisha Nchi kwenye fainali ya mataifa ya Afrika ambapo wataungana na washindi wa nchi nyingine kuunda timu ya ushangiliaji ya Afrika United Team.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad