HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 7, 2012

UKISTAAJABU YA MUSSA,UTAYAONA YA FIRAUNI: VYANDARUA VYATUMIKA KUSAFIRISHIA CHUPA ZA MAJI ZILIZOTUMIKA JIJINI MBEYA

Wakati Serikali ikiendelea kukesha usiku na mchana na Kampeni yake ya kupiga vita Ugonjwa wa Malaria hapa nchini kwa kusambaza vyandarua kila kona,hali imekuwa tofauti kwa wadau wa jiji la Mbeya ambao wao wameamua kutumia vyandarua hivyo kuhifadhia chupa za maji za plastiki ambazo zimetumikwa kwa ajili ya kwenya kuzipima na kuziuza,kama zilivyonaswa na Kamera man wetu katika moja ya Mitaa ya Jiji hilo la Mbeya.
Hivi ndivyo mambo yalivyo,na hapa mzigo uko tayari tayari kwa kusafirishwa na kukingwa na mbu.
Hapa ni mwendo wa kupiga vita Malaria kwenye chupa na si kwa binadamu.
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad