Eneo la Mapokezi lilivyopambwa wakati wa
sherehe ya kuaga mwaka iliyofanywa na ShekinaGarden Mbezi jijini Dar es
Salaam jana usiku.
Meza zilipendeza vema.
Wadau wa Garden kwenye picha.
Washindi waliovaa vizuri na kutokelezea
ni Laurence Mafuru (kushoto) na Mywife wake katikati wakikabidhiwa
zawadi na mmoja wa viongozi wa Garden hiyo.
Mshiriki wa shindano la kuimba Esther
Matley akionyesha ujuziwake.
Baadae watu wakajimwaga viwanjani kwa
burudani iliyoshushwa na Tanzanite Band.
Mwenyekiti wa Garden hiyo Pantaleo
Shirima akikaribisha wageni.
Hawa ndio waliopendezesha sherehe hiyo
kwa huduma ya mapokezi.

No comments:
Post a Comment