HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 27, 2012

SERIKALI UMULIKE NA FELI, UCHAFUZI WA MAZINGIRA ENEO HILO WAKITHIRI, WATU WANAJISAIDIA HOVYO .

Pamoja na kuwepo kwa soko hili zuri la samaki la kimataifa feli ikiwemo na huduma ya vyoo lakini bado wavuvi na watu wengine wanaokwenda sokoni hapo hawataki kutumia vyoo na kujisaidia kwenye fukwe hizo kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya watu hao kushindwa kulipa shilingi miambili ambayo ni gharama ya huduma ya choo hicho. Siajabu kwenye fukwe hizo kukutana na vinyesi vikielea.

Biashara kama hizi nazi huongeza hali ya uchafuzi wa fukwe hizo mbali na maji taka yenye harufu kali yanayo tiririshwa kuelekea baharini nakuzifanya fukwe hizo kutoa harufu kali na kuchafua kabisa mandhari ya soko hilo.

Hawa ni miongoni mwa wachafuzi wa mazingira hayo hukojoa pasi na wasiwasi kwenye fukwe hizo. Iko haja ya kuweka ulinzi kudhibiti wenye tabia hizo ili kuondoa tatizo hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad