Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya (kushoto) akiwasili kwenye Uwanja mpya wa Ndege wa Songwe jijini Mbeya wakati alipokwenda kuutembelea na kuangalia jinsi utendaji kazi unavyoendelea.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya (kushoto) akipokea maelezo kutoka kwa muongozaji wa Ndege aliopo uwanjani hapo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya na mkewe Mama Lucy Mwandosya wakiwa katika mazungumzo na viongozi wa Mamlaka za viawanja vya Ndege waliokuwepo uwanjani hapo.
Kibao kinachoonyesha ulipo uwanja wa Ndege huo.
Runway ya Uwanja wa Songwe inavyoonekana kutoka angani.
No comments:
Post a Comment