HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 20, 2012

OCD,WENYEVITI WAJADILI ULINZI SHIRIKISHI WILAYA YA ARUSHA

Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha,Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Gilles Muroto akiongea na Wenyeviti wa mitaa ya halmashauri ya jiji la Arusha katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi lililopo jijini hapa.
Mmoja wa wenyeviti wa mitaa ya jiji la Arusha akielezea matatizo ya mtaa wake katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi kati yao na Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Gilles Muroto (Picha na mahmoud ahmad Arusha).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad