HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 28, 2012

Mtwara kimenukaaa....... Wananchi waandamana kupinga kusafirishwa kwa Gesi


Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Mtwara Mjini wakiwa kwenye maandamano makubwa waliyoyafanya kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!
Wakazi hao wakiwa na mabango yao yenye jumbe mbalimbali kama uonavyo pichani.
Waandamanaji wakiwa wamekusanyika kwenye moja ya uwanja mjni Mtwara wakipinga gesi kusafirishwa kwenda jijini Dar!
Mmoja wa wakazi wa mji wa Mtwara mjini akiwa amebeba bango lake.
Baadhi ya askari wakiwa kwenye gari yao wakiangalia usalama wa hapa na pale kufuati maandamano makubwa yaliyofanywa na wakazi wa Mkoa wa Mtwara,wakipinga gesi kusafirishwa kwenda jijini Dar!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad