HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 8, 2012

MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA SADC WAFANYIKA JIJINI DAR LEO

Rais Jakaya mrisho kikwete, akikaribisha viongozi wenzie wa nchi za SADC katika kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012
Rais Jakaya mrisho kikwete, Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia pamoja na Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz Salomao. na Mawaziri wa nchi hizo wakipitia rasimu ya muhtasari wa kikao kabla ya kuanza kwa kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012.
Rais Jakaya mrisho kikwete, katika picha ya pamoja na viongozi wenzie wa nchi za SADC katika kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad