Leo katika pita pita zangu za kuendeleza libeneke la Mtaa kwa Mtaa nikajikuta nimefika kwenye kiota cha mkongwe wa Mitindo ya mavazi hapa nchini,Bw. Manju Msita (alieketi kushoto).ambapo tulizungumza mambo mbali mbali yahusuyo kazi yake hiyo ya Mitindo na baadae akanionyesha baadhi ya kazi zake anazozifanya hapo na mimi nikabahatika kupata shati moja bomba sana (nililovaa hapo).kiukweli katika tasnia hiyo ya Mitindo huyu Bwana hana mpinzani hapa nchini maana anatoa vitu vikali sana.
Wadau mnalionaje shati hilo kutoka kwa Manju Msita??na yapo mengi tu kwa watu wote,wanawake kwa wanaume,watoto kwa wakubwa.
kama ukipendezwa na kazi zake na unahitaji kudizainiwa mavazi makali ya aina yeyote,basi msisite kumtafuta Manju Msita kwa mawasiliano yake hayo hapo.
Email : manjumsita@yahoo.com
Simu : 0784 411 411 au 0655 411 411



No comments:
Post a Comment