Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana (katikati) akikata utepe kuzindua wa maonyesho ya Nyumba yaliyoanza rasmi leo katika eneo la maegesho ya magari,Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana akiangalia buti za askari kwenye banda la kampuni ya Open Sanit ambao wanatengeneza vifaa hivyo wakati wa uzinduzi wa maonyesho yaliyoanza leo katika eneo la maegesho ya magari,Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Askari Revokatus Mwanandeje akichagua buti za askari kwenye banda la kampuni ya Open Sanit ambao ni watengenezaji wa vifaa hivyo wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya Nyumba yaliyoanza leo katika eneo la maegesho ya magari,Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Biashara wa kampuni hiyo Denis Mazula.
No comments:
Post a Comment