HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 15, 2012

Mambo ya Tusker Carnival ndani ya Leaders Club usiku huu

 Kiongzo wa Bendi ya Wazee Sugu,King Kikii akiima kwa umahiri nyimbo ya Kitambaa cheupe usiku kwenye Tamasha la Tusker Carnival linaloendelea kwenye viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam.
 Viongozi wa Benki ya Mapacha Watatu,Khalid Chokoraa (shoto) na Jose Mara wakifanya vitu vyao kwenye Tamasha la Tusker Carnival linaloendelea kufanyika hivi sasa kwenye viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam.
 Wacheza shoo wa Mapacha Watatu mzigoni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad