HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 18, 2012

Mama Salma Kikwete azindua maktaba ya watoto jijini Dar

 Watoto wa Shule Mbalimbali za Dar wakiimba Wimbo wa Taifa wa Korea Kusini katika sherehe za uzinduzi wa maktaba ya watoto katika jengo la Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete
 Mgeni Rasmi Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akihutubia kabla ya kuzindua Maktaba hiyo
 Mama Salma Kikwete akiwa kwenye Maktaba ya Watoto baada ya kuizindua
Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na wageni mashuhuri wakifurahia hatua hiyo ya kimaendeleo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad