Mke Wa Rais Mama Salma Kikwete Akiwapungia Wageni Waalikwa Katika Hafla Fupi Ya Siku Ya Watoto Yatima.Iliofanyika Katika Viwanja vya ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Dar es Salaam leo. Ilio Fadhiliwa Na Twiga Cement Na Rotary Club Dsm Nrth.
Mke Wa Rais Mama Salma Kikwete Akisalimiana Na Mkukurugenzi Wa Twiga Cement Pascal Lesoinne Baada Ya Kuongea Na Wageni Waalikwa Waliofika Katika Hafla Hiyo.
Mke Wa Rais Mama Salma Kikwete Akirusha Mshale Kwenye Maputo Ishara ya Uzinduzi ya Siku ya Watoto Yatima Iliofanyika Katika Ofisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Dar es Salaam leo.
Baadhi ya watoto Hao Wakiwa katika hafla hiyo.
Mke Wa Rais Mama Salma Kikwete Akijadili jambo Pamoja Na Walezi Na Watoto Hao Katika Hafla Fupi Ya Siku Ya Watoto Yatima.Iliofanyika Katika Ofisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Dar es Salaam leo. Ilio Fadhiliwa Na Twiga Cement Na Rotary Club Dsm Nrth.(PCHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
No comments:
Post a Comment