Baadhi ya Majeruhi waliojeruhiwa na Majambazi mapema leo katika eneo la Kariakoo,jijini Dar wakiwa kwenye gari la Polisi tayari kwa kupelekwa hospitali kwa Matibabu.kwa mujibu wa Ripota wetu ni kuwa Baadhi ya Majambazi hao wamekamatwa na wapo kwenye kituo cha Polisi Msimbazi Kariakoo.Majambazi hao wameuwa watu wawili kwa risasi.
Tuesday, December 18, 2012

Home
Unlabelled
Majambazi walitikisa jiji la Dar leo,waua watu wawili na kujeruhi kadhaa
Majambazi walitikisa jiji la Dar leo,waua watu wawili na kujeruhi kadhaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment