HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 24, 2012

Mahindi ya Kuchemsha eneo la Daraja la Ruvu,Bagamoyo

kama wewe ni mpitaji wa mara kwa mara wa Barabara mpya ya Bagamoyo - Msata,basi ni lazima utakuwa umepita hapa,maana ni sehemu maarufu sana kwa kuuza mahindi ya kuchemsha na yale mabichi.hapa ni pembeni kidogo ya daraja la Ruvu,Bagamoyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad