Makamu Mwenyekiti wa Legho-Kirua Developmet Association (LEKIDEA) ya Kirua Vunjo Moshi Mkoani KilimanjaroInjinia Simon Njau (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa kati wa Mkutano huo. |
Taasisi hiyo ya LEKIDEA inafanikisha miradi mbalimbali huku ikiwa haina
chanzo maalum cha kupatapesa ila kutokana na ushirikiano wa vyama vya
ushirika wananchi na wasomi na wananchi wa kawaida wanaotoka maeneo hayo
kujitoa kwa hali na mali kuchangia maendeleo hayo.
Baadhi ya barabara zilizojengwa na taasisi hiyo ni ya Kwa Matay kupitia Manzaoni CCM kupitia Mero kati.
Kisomachi kupitia Kapero Legho Primary School hadi Legho KNCU.
Kisomachi hadi Kilimanjaro Secondary School (Olduvai) kupitia Mrumeni.
Barabara nyingine ni ile ya Kitaarinyi hadi kwa Erene kupitia Usangi KNCU na barabara ya Kitaarinyi Kilasanionyi kupitia Usangi KNCU.

No comments:
Post a Comment