Askari wa Usalama barabarani akiandikia karatasi maalum ya makosa ya dereva wa Daladala hili,ya kumtaka alipe faini kwa kosa lake mara baada ya kumkamata akiwa amesimama katika sehemu isiyoruhusiwa (katikati ya barabara) wakati akiendelea kupakia abiria,bila kujali kuwa kuna magari mengine yanatakiwa kutumia barabara hiyo.hapa ni katika eneo la Mwananyamala A,Kinondoni jijini Dar.
Thursday, December 20, 2012
Home
Unlabelled
lazima ulipe faini kwa kosa ulilofanya.......
lazima ulipe faini kwa kosa ulilofanya.......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment