Wakazi wa kijiji cha Luilo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe ambao majina yao hayakuweza fahamika mara moja wakiwa wamebeba mzoga wa ng'ombe ambae anadaiwa kufa kwa ugonjwa wa kupe akiwa porini , nyama hii inadaiwa huuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nyama ya ng'ombe aliyechinjwa kawaida.Picha na Francis Godwin Blog.
Friday, December 21, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment