HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 27, 2012

kiota kipya jijini Arusha

Ndani ya Libeneke Pub utakutana na muziki laini ,rege ,ngwasuma pamoja na  miziki mingi mbalimbali pia kuna wapishi waliobobea kwa supu ya makongoro mchemsho wa kuku mishikaki bila  kusahau chips zilizoenda shule wadau mnakaribishwa libeneke pub sakina jijini Arusha

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad