HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 6, 2012

Kila la Kheri Kilimanjaro Stars

Wachezaji wa timu ya Kilimanjaro Stars wakiwa kwenye mazoezi katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Kyambogo nchini Uganda,tayari kwa maandalizi ya mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Tusker Chalenji dhidi ya timu ya Uganda utakaochezwa leo kwenye Uwanja Nelson Mandela uliopo Namboole.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad