HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 15, 2012

HUSSEIN HERSI ALAMBA NONDOZZ YAKE CHUO KIKUU MZUMBE CAMPAS YA DAR

MDAU HUSSEIN HERSI AKISUBILI KUCHUKUA NONDO YAKE YA SHAHADA YA UZAMILI YA BIASHARA  'MBA' WAKATI WA MAHAFARI YA 11 YA CHUO KIKUU MZUMBE CAMPAS YA DAR ES SALAAM YALIYOFANYIKA JANA KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBLEE,JIJINI DAR.
HUSSEIN HERSI KUSHOTO AKIWA NA RAFIKI YAKE
Baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe  wa Shahada ya Uzamili ya Biashara  MBA wakifurahia jambo wakati wa Mahafali ya 11 ya chuo hicho jana.kutoka kushoto ni Mariba Ryoba, Hussein Hersi, Mulamu Nghambi na Martha Nghambi
BAADHI YA WAHITIMU WA CHUO KIKUU MZUMBE WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
MDAU HUSSEIN HERSI KUSHOTO AKIWA NA WAHITIMU WENZIE LEO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad