washiriki wa mashindano ya mitumbwi ya Balimi Extra Lager kutoka katika mikoa ya Mara,Kagera,Kigoma,Ukerewe na Mwanza wakiwa kwenye picha ya pamoja kupata maelekezo juu ya namna ya ushiriki wa mashindano hayo kwenye Ziwa victoria.
washiriki wa mashindano ya mitumbwi ya Balimi Extra Lager kutoka katika mikoa ya Mara,Kagera,Kigoma,Ukerewe na Mwanza wakiwa kwenye mstari wa kuanza mashindano hapa wakisubri filimbi ya kuanza kwamashindano hayo ambapo mkoa wa kagera uliibuka washindi.
Mabingwa wa kanda ya Ziwa wa mashindano ya Mitumbwi ya balimi timu ya mkoa wa kagera wakiwa katika mstari wa kumaliza mashindano hayo na kuwa mabingwa wapya wa balimi kanda ya Ziwa na kufanikiwa kuibuka na kitita cha shilingi milioni mbili na laki saba.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evaristi Ndikilo akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni mbili na laki saba nahodha wa timu ya Kabanga Group ya kagera Bwana Eliud Prosper Sambamba na zawadi ya kikombe mara baada ya kuibuka mabingwa wa kanda ya ziwa kwenye mashindano ya balimi boat race .
mabingwa wa mashindano ya balimi boat race 2012 timu ya mkoa wa mara wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evaristi Ndikilo na viongozi mbalimbali wa TBL Kutoka kushoto ni meneja wa bia ya Balimi Edith Bebwa,Meneja masoko wa TBL Fimbo Butalla kulia malaki sitaki.
mabingwa wa mashindano ya balimi boat race 2012 timu ya mkoa wa kagera wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evaristi Ndikilo na viongozi mbalimbali wa TBL Kutoka kushoto ni meneja wa bia ya Balimi Edith Bebwa,Meneja masoko wa TBL Fimbo Butalla kulia malaki sitaki.
No comments:
Post a Comment