Mwezeshaji wa msafara wa 'Caravan for Change' unaoratibiwa na Shirika la Wanawake Katika Sheria na Maendeleo Afrika (WiLDAF), ambao unazunguka mikoani kuelimisha wananchi kuhusu ukatili wa kijinsia, Thomas Mponda, akizungumza na wanawake wajasiriamali wa soko la Kwasadala wilaya ya Moshi.Ujumbe wa wanaharakati 25 unazunguka mikoani kuelimisha kuhusu siku 16 za kutokomeza ukatili wa kijinsia.
Thursday, November 29, 2012

Home
Unlabelled
Zoezi la kuelimisha jamii kuhusu ukatili wa kijinsia laendelea mikoani
Zoezi la kuelimisha jamii kuhusu ukatili wa kijinsia laendelea mikoani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment