Dk.Song Gmhwa(kulia) raia wa Korea akimwangalia Bibi wa kimasai, Naniai Poranda, kinywa kwa kutumia kifaa maalum wakati wa huduma ya afya ya kujitolea ya wafanyakazi wa Samsung Medical Center na Sumsung Electronics iliyofanyika katika kijiji cha Elmorijo, Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha.Zaidi ya watu 600 walipewa matibabu
Dk. Seung Woo Park(kulia) raia wa Korea akimpima Bibi wa kimasai,Ngaisi Sumuni wakati wa huduma ya afya ya kujitolea ya wafanyakazi wa Samsung Medical Center na Sumsung Electronics iliyofanyika katika kijiji cha Elmorijo, Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha.Zaidi ya watu 600 walipewa matibabu.
Dk.Moon Eunmi (kushoto) raia wa Korea akimwelekeza Mama wa kimasai,Nariku Ngera namna ya kutumia dawa kwa kumpa Mtoto wakati wa huduma ya afya ya kujitolea ya wafanyakazi wa Samsung Medical Center na Sumsung Electronics iliyofanyika katika kijiji cha Elmorijo, Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha.Zaidi ya watu 600 walipewa matibabu.
Pale kwenye picha ya kinywa maelezo ni ya macho na kwenye macho hakuna maelezo.Then why Mwanaume amkague mwanamke na hali Dr mwanamke yupo?? Hii si sawa pamoja na kuwa tunashida bwanaaaaa
ReplyDelete