HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 3, 2012

SWALA LA UHABA WA MAFUTA NCHINI LAPATIWA JIBU NA EWURA


Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Titus Kaguo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu jitihada zilizofanywa na Serikali kukabiliana na uhaba wa mafuta nchini, ambapo imeamua kupunguza kiwango cha mafuta yanayosafirishwa kwenda nchi jirani na kuongeza kwenye soko la ndani. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad