Meneja Usambazaji wa Samsung Tanzania Bw. Syvester Manyara (kushoto) na Mkufunzi wa Kampuni ya Samsung Electronics hapa
nchini,Bw. Joel Laize wakionesha
baadhi ya simu aina ya Samsung mbele ya Waandishi wa habari
(hawapo pichani),wakati wa Uzinduzi rasmi ofa maalum ya kipindi hiki
cha Msimu wa sikukuu ijulikanayo kama “Samsung Season’s Offer!”.
Uzinduzi huu umefanyika katika duka la Samsung lililoko Quality Centre,
Dar Es Salaam.Kulia ni Mkufunzi wa Kampuni ya Samsung Electronics hapa
nchini,Bw. Joel Laize.
Baadhi ya wana Habari waliofika kushudia uzinduzi wa promosheni ya ofa za msimu wa sikukuu
No comments:
Post a Comment