HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 19, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA HAYATI JACKSON MAKWETTA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo alipofika kutoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali hapa nchini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali hapa nchini. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Makwetta Bunju,jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais,Dkt. Ghalib Mohamed Bilal akitoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Waziri Mkuu,Mhe. Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta.
Spika wa Bunge,Mhe. Anne Makinda akitoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mhe. Cleopa David Msuya akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Uratibu wa Bunge,Mh. William Lukuvi akitoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara),Mhe. Philip Mangula akitoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu baada ya kutoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Mke wa Rais Mama Salma akiwafariji wana familia wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili kutoa heshima zao za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad