Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali na kumpa pole Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhili Soraga ambaye amelazwa katika chumba cha dharura katika Hospitali ya Taifa ya Muhiombili kufuatia majeraha ya usoni na kifuani yaliyotokana na kurushiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe mjini Unguja juzi. Rais ambaye amerejea leo Jumanne Novemba 6, 2012 akitokea katika ziara ya kikazi ya takriban juma moja katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida, amemtakia Sheikh Soraga nafuu ya haraka.
PICHA NA IKULU
Wednesday, November 7, 2012
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AMPA POLE KATIBU WA KUFTI WA ZANZIBAR ALIYEMWAGIWA TINDIKALI
RAIS KIKWETE AMPA POLE KATIBU WA KUFTI WA ZANZIBAR ALIYEMWAGIWA TINDIKALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment