HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 15, 2012

RAIS KIKWETE AKAGUA SHAMBA LA ZABIBU CHAMWINO MJINI DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua shamba la mfano la kilimo cjha zabibu la SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 15, 2012 akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe Fatma Saidi na Mbunge wa Mtera Mhe. Livingstone Lusinde.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete waakikagua shamba la kilimo cha Zabibu la SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 15, 2012. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad