Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Gilles
Muroto akiongea na wakazi wa Mtaa Kitalu "D" Njiro katika mkutano
uliofanyika tarehe 18.11.2012 juu ya uanzishwaji wa vikundi vya ulinzi
shirikishi.
Mwenyekiti
wa Mtaa wa Kitalu "D" Njiro Bw.John Kihwele akihesabu fedha
zilizopatikana baada ya Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha Mrakibu
Mwandamizi wa Polisi Gilles Muroto (kushoto kwake) kuchangisha fedha
hizo kwa njia ya harambee katika mkutano uliowajumuisha, askari Polisi,
viongozi wa Mtaa na wakazi wa eneo hilo uliofanyika tarehe
18.11.2012.Jumla ya fedha taslimu Tsh 125,000 zilipatikana papo hapo.
No comments:
Post a Comment