HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 27, 2012

NAPE AWAKILISHA CCM KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MSANII WA BONGO MOVIE, JOHN MAGANGA

Marehemu Joseph Maganga
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akitoa salam za Chama, kwenye msiba wa msanii Filamu za Bongo Movie,Marehemu Joseph Maganga, Nyumbani kwao Mwananyamala,jijini Dar es salaam. Maganga alifariki Jumamosi hii.
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi CCM, Nape Nnauye akiwa kwenye shughuli ya kuaga mwili wa msanii Filamu za Bongo Movie,Marehemu Joseph Maganga nyumbani kwao Mwananyamala, jijini Dar es salaam leo.
Msanii wa Bongo Movie, Husna Maulidi 'Lishez', akituliwa na wenzake, Babby Candy na Ketty wakati akilia kwa uchungu, wakati wa kuaga mwili wa Msanii wa Bongo Movie, marehemu John Maganga.
Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, John Maganga, wakati wa kuaga mwili huo, Mwananyamala, Dar es Salaam.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa pole Stephen Maganga, baba wa msanii John Maganga wakati wa kuaga mwili wa msanii huyo, Mwananyama, Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad