HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 8, 2012

HUDUMA MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA KWENYE BANDA LA VODACOM WAKATI WA MKUTANO WA HUDUMA ZA KIFEDHA

Mfanyakazi wa Vodacom Irene Salim(kushoto) akitoa maelezo ya simu za mkononi kwa washiriki wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam jana,wa pili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.
Afisa Biashara wa Vodacom Tanzania Ezekiel Nungwi,akitoa maelezo ya huduma za fedha kupitia mtandao huo wakati wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam jana,wakiangalia vipeperushi kwenye banda la Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad