Mdau wa Mtaa kwa Mtaa Blog,Mariam Yassin akiwa na furaha tele mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma.
Mdau Mariam Yassin akiwa na Muhitimu mwenzake pamoja ndugu zake waliofika Chuoni hapo kumpongeza.
No comments:
Post a Comment